tag:blogger.com,1999:blog-31329788367529213902024-03-13T19:29:42.140+03:00CHOKOZAAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/13956377148998104947noreply@blogger.comBlogger385125tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-66750585834404583162013-08-02T15:02:00.001+03:002013-08-02T15:02:11.087+03:00AIBU: MKE AFUMANIWA AKIGAWA URODA CHUMBANI KWA MUMEWE
Timbwili
I zito limeibuka baada ya mwanaume aliyetajwa kwa jina moja la Samora
kumnasa ‘live’ mkewe Hadija akimsaliti kwa kuvunja amri ya sita na
hawara ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, tena kwenye chumba chao..Habari
kutoka chanzo cha uhakika kilitonya kuwa Samora na Hadija ni wanandoa
waliooana Bomani pale Magomeni, Dar, mwaka 2009 na katika ndoa yao
wamebahatika kupata chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-78874875677054945082013-08-02T10:49:00.001+03:002013-08-02T10:49:00.465+03:00VIDEO:BOW WOW NA TYRA BANKS WANYONYANA DENDA KWENYE TV LIVEchokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-52679214040013088812013-08-02T10:44:00.000+03:002013-08-02T10:44:01.231+03:00MADUDU UWANJA WA NDEGE DAR ES SALAAM
TUKIO la wasichana wawili wa Tanzania
waliokamatwa na dawa za kulevya Afrika Kusini, limechukua sura mpya
baada ya kujulikana kwamba, siku ambayo watuhumiwa hao walisafiri
kupitia Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam, mbwa
wanaohakiki usalama wa mizigo hawakuwapo. Chanzo chetu cha habari
kiliiambia MTAZANIA, kwamba pamoja na uwepo wa kitengo cha kudhibiti
dawa za chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-76595689779616626482013-08-01T11:17:00.002+03:002013-08-01T11:17:30.863+03:00NI VITA,MASAA 48 YANAKARIBIA KUISHA,WAASI WA M23 WAAMBIWA WAJISALIMIESHE..VINGINEVYO NI HATARI
U
Wanajeshi
wa Brigedi Maalum wakiwa katika mazoezi makali yaliyofanyika hivi
karibuni huko Goma Mashariki ya Demokrasia ya congo
Mmoja
wa walinda amani kupitia Brigedi Maalum inayoundwa na wanajeshi kutoka
Tanzania, Afrika ya Kusini na Malawi akiwa katika moja ya mazoezi
yaliyofanyika hivi karibu huko Goma.
Kamanda Mkuu wa Misheni chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-53281982112423673112013-08-01T11:04:00.001+03:002013-08-01T11:04:22.885+03:00Watumia gari kutapeli Sh 470,000/=
POLISI mkoani Dodoma inashikilia watu watatu wakiwemo raia wa nje,
kwa tuhuma za kufanya utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu
katika vituo vya kuuzia mafuta na maduka ya kubadilishia fedha.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema tukio hilo ni
la jana katika Kituo cha Camel kilichoko Chuo cha chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-33106196956605984012013-08-01T11:01:00.006+03:002013-08-01T11:01:58.727+03:00 Viongozi watekwa, wamwagiwa upupu
VIONGOZI wa Chama cha Msingi cha
Ushirika wa Mazao na Masoko Lenganelo na Diwani wa Mchemo, Mshamu
Chituta, wamekamatwa na wanachama, wakafungiwa katika ghala la korosho
na kumwagiwa upupu.
Akizungumzia kisa hicho katika Baraza la
Madiwani juzi, diwani huyo alisema wanachama hao walishikwa na hasira
mkutanoni, baadachokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-91996604586538264892013-08-01T10:55:00.000+03:002013-08-01T10:55:02.840+03:00MATAPELI WA ONLINE WAAMUA KUTUMIA KISWAHILI KUTAPELI MITANDAONI-ONA HUYU ANAJARIBU KUNITAPELI FACEBOOK
Hii message hapo chini ni mtu amenitumia
Facebook anajiita Sandra na picha yake ni hiyo hapo juu , hii ndio ile
staili ya kutepeliwa online wanayotumia watu wa West africa..hapo
ametumia kiswahili kibovu na inavyoonekani ametumia Google
Translate....Angalizo watanzania wenzangu message kama hizi hazina
ukweli wowote hao ni Matapeli tu ...Mwisho wa siku utachat nae
atakwambia chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-25158854325326716642013-08-01T10:53:00.001+03:002013-08-01T10:53:18.236+03:00MAAJABU:MWANASHERIA AISHITAKI ISRAEL KWA KIFO CHA YESU
Maajabu mengi sana hugundulika duniani
kila siku , lakini kuna kila uwezekano kuwa ajabu lililoko kwenye story
hii likawa ajabu la kipekee . Mwanasheria mmoja ambaye ni raia wa Kenya
ameibuka na kuzishitaki serikali za Israel na Italia kwa kosa la
kuhusika kwenye kifo cha Yesu Kristo .
Mwanasheria huyo Dola Indidis amefungua
kesi hiyo kwenye mahakama ya dunia The Hague kule chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-13938576871492970442013-07-31T10:28:00.002+03:002013-07-31T10:28:57.580+03:00SEREKALI YATANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KWENDA UALIMU
Serikali imetangaza majina ya wanafunzi
18,754 waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu vilivyo chini yake
ikiwa ni ongezeko la wanafunzi 1,659 ikilinganishwa na 17,095
waliochaguliwa mwaka jana.
Kati ya wanafunzi hao, 11,806 wamechaguliwa kusomea ngazi ya cheti (Grade A) na 6,948 watasoma katika ngazi ya stashahada.
Wanafunzi 363 wamechaguliwa kusoma elimu maalumu kwa ngazi ya chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-53838882762264540182013-07-30T14:31:00.002+03:002013-07-30T14:31:14.391+03:00MBUNGE WA CCM ANAYEDAIWA KUFADHILI MADAWA YA KULEVYA AJISALIMISHA POLISI
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM,
Iddi Azzan, aliyetajwa kwenye barua inayosadikiwa kuandikwa na wafungwa
Wakitanzania waliopo Hong Kong “amejilisalimisha” kwenye ofisi za jeshi
la polisi na kulitaka jeshi hilo lifanye uchunguzi dhidi ya tuhuma
zilizoelekezwa kwake, ili hatua nyingine na ikibidi sheria, vichukue
mkondo wake.Azzan amesema alienda chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-17038173262298908942013-07-30T14:22:00.004+03:002013-07-30T14:22:27.262+03:00MWANAMKE AOZWA KWA NGUVU NA KUBAKWA NA KUNDI LA WANAUME SIKU YA HARUSI...
Waandamanaji wakiwa wameshikilia mabango kulaani vitendo vya ubakaji.
Mwanamke wa India mwenye miaka 24
amelazimishwa kuolewa na kubakwa na kundi la wanaume kama adhabu ya
'heshima' baada ya kaka yake kutoroka na rafiki yake wa kike, imebainika
jana.Mwanamke huyo - ambaye hakuweza kutajwa kwa
usalama wake - aliambiwa anatakiwa kuolewa na mume ambaye ni kaka wa
mke wa mchumba mpyachokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-86990131713159522412013-07-30T14:15:00.002+03:002013-07-30T14:15:13.874+03:00BAADA YA CLOUDS FM KUMWONGELEA MWISHO MWAPAMBA ,YE AKASIRISHWA NA KITENDO HICHO NA KUTOA TUSI ZITO LIVE
Now ni clouds FM with Mwisho Mwampamba
chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-65776356570754897722013-07-30T14:12:00.001+03:002013-07-30T14:12:13.982+03:00WAKUTWA NA MAUTI WAKIFANYA MAPENZI.
Kwa Mujibu wa
Ripoti iliyotolewa na wakazi wa eneo husika, inasemekana kwamba Bw.
Mathias Nwoko,45, na Binamu yake Angela Ihuoma walifikwa na Umauti
wakati wakiwa katika tendo la ndoa.
Wawili
hao ambao asubuhi kabla ya kufariki walionekana pamoja wakicheza kwa
furaha katika sherehe za kumkaribisha Padri Mpya katika Jimbo lao,
Mathias ambaye ameelezwa alikuwa ndani ya ndoa kwa chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-48706524275588972192013-07-29T16:53:00.003+03:002013-07-29T16:53:30.196+03:00Kahaba anusurika kifo. Apigwa kikatili na wenzie wakidai “anauza” bei rahisi na kuwaharibia soko
Kahaba mmoja katika mji wa Naivasha, jimboni Rift Valley, Kenya
alinusurika kufa baada ya kupewa kichapo cha mwizi na makahaba wenzake
kwa sababu wamekerwa na kitendo chake cha kuuza ngono kwa bei rahisi na
kuwaharibia soko.
Wenzake hao wenye hasira walimtwanga kwa mangumi na mateke,
wakimshutumu chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com1tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-19999848156681967722013-07-29T15:07:00.002+03:002013-07-29T15:14:38.351+03:00 AKAMATWA AKIFANYA MAPENZI NA MIFUPA YA MWANADAMU, ADAI ANA MAHABA MAKUBWA NA MAITI
Mama mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa ya maiti.
Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoaandika
akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi na mifupa ya mtu
aliyefariki dunia zaidi ya miaka 50 iliyopita.
Mkuu wa mashitaka Bi Kristina Ehrenborg-Staffas
ameliambia shirika la habari la chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-46051990789225247402013-07-29T15:03:00.001+03:002013-07-29T15:03:28.628+03:00Jamaa amuua mwanawe na kunywa damu yake,chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-9772342875509556422013-07-29T14:55:00.001+03:002013-07-29T14:55:35.508+03:00JACKLINE WOLPER AMPA MAKAVU ALIEMUITA YEYE KAHABA ANAEJIUZA
Msanii
nyota wa filamu bongo, Jacqueline Wolper amewataka wasanii wa
bongo movie kuacha tabia ya kupigana majungu ya kinafiki
ambayo huchangia kujenga bifu za kijinga....
Akiongea
na mpekuzi wetu, wolper alidai kuwa chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-11323402327600774722013-07-29T13:29:00.004+03:002013-07-29T13:29:35.308+03:00PICHA YA SUPER STAR OPRAH WINFREY AKILA BATA BONGO!!
A group of giraffe is called a “journey” There were 16 of them couldn’t fit in one shot
chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-26569626981114009532013-07-29T13:02:00.004+03:002013-07-29T13:02:38.846+03:00Kero za watoa huduma kwa wateja
Unapokuwa mtoa huduma kwa wateja (customer care) unatakiwa kuwa sharp, kauli nzuri na tabasamu kwa watu unaaowahudumia.
Hii imekuwa tofauti kwa watoa huduma wengi hapa Tanzania sijajua huko
sehemu nyingine. Unafika sehemu unapokelewa na uso umekunjwa na majibu
ya nyodo hasa ukiwa mrembo na mtoa huduma ni mwanamke! Wengine watu
wanasubiri huduma mf; benki yeye anaongea na simu kwa chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-92046963508713138752013-07-29T13:00:00.003+03:002013-07-29T13:00:40.014+03:00 Wauza 'Unga' waliokamatwa Hong Kong wataja maboss zao yupo na mbunge maarufu
Mbunge Wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania ametajwa na
wafungwa wa kitanzania waliofungwa jela huko nchini Hong Kong kuhusika
na biashara ya madawa ya kulevya.Taarifa hiyo iliyomhusisha
Mbunge huyo na mtandao huo mkubwa wa biashara hiyo ya madawa ya kulevya
nchini Tanzania, ilitolewa katika barua maalum iliyoandikwa na mmoja wa
Wafungwa katika magereza ya nchini Hong Kongchokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-9324458168431073112013-07-29T12:48:00.000+03:002013-07-29T12:48:06.770+03:00DIAMOND PLATNUMZ AENDA SHULE SOUTH AFRICA KUONGEZA VIDATO
The Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz
yupo nchini Afrika Kusini alikoenda kuongeza vidato kidogo. Apparently,
hitmaker huyo wa Kesho amejiunga na chuo ambacho hakijajulikana jina
lake bado na hajasema ameenda kusoma nini.Kupitia Facebook, staa huyo amewauliza mashabiki wake wabashiri ameenda kusoma nini chuoni hapo na haya ni baadhi ya majibu.Faiso Yahya: Ka si english chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-38132017378307992912013-07-29T12:45:00.001+03:002013-07-29T12:45:33.334+03:00VIDEO: Nando atimuliwa BBA kwa kuficha silaha na kutishia wenzie chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-83486282783156654522013-07-29T12:40:00.003+03:002013-07-29T12:40:38.631+03:00WANAWAKE KUTEMBEA NUSU UCHI, KUMBE WANA LAO JAMBO
Kuna
wakati wanaume hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa
wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume. Inawezekana
kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa
fidia kutokana na kuamini kwao kwamba, sura zao zimewaangusha, hivyo
miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu huo. Wakati
mwingine hata wanawake wanaodhani au chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-61914288468449770972013-07-29T12:37:00.000+03:002013-07-29T12:37:03.432+03:00"NIKIKUTA NINA VIRUSI VYA UKIMWI NI LAZIMA NIJIUE MAANA SIPO TAYARI KUCHEKWA".....
Msanii
wa filamu bongo,Baby Madaha amefunguka kwamba siku akianza
kuona dalili za ugonjwa wa UKIMWI ndani ya mwili wake
atakunywa sumu kwa kuhofia kuchekwa na jamii.Akiongea
na mwandishi wetu,Madaha chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3132978836752921390.post-16880601009299651862013-07-29T12:34:00.002+03:002013-07-29T12:34:39.870+03:00JIWE LA AJABU NCHINI TANZANIA NA HAIRUHUSIWI KULIPANDA WALA KULISOGELEA!! KWANI NI HATARII
Haya ndio maajabu ya Jiwe la Mbuji Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma
Maana ya neno Mbuji ni "Kitu kikubwa"1. Ni jiwe pekee kubwa Mkoani Ruvuma,2. lina vyanzo vingi vya maji chini yake,
3. Ni ngumu kulipanda na ukithubutu yatakayokukuta ni
juu yako na tayari Mzungu mmoja kapoteza maisha'
4. Ni ngumu kulizunguka,5. Hutumika kwa matambiko kwa baadhi ya koo,6. Kuna watu chokozahttp://www.blogger.com/profile/03336534891630421506noreply@blogger.com0