MSANII WA COMEDIAN POSA AFARIKI DUNIA LEO SAA 3 ASUBUHI KATIKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA























TANZANIA COMEDIAN'S ASSOSIATION inasikitika kukuambia kuwa comedian mwenzetu posa...
amefariki dunia leo saa 3 asubui katika hospitali ya mwananyamala alipokuwa amelazwa taarifa zaidi za msiba utakapokuwepo tutaambiana ila watu bado tupo hospitali tafadhari mjulishe na mwenzio.. R.I.P POSA.



                                                        via@MKWERE ORIGINAL

0 comments:

Post a Comment