HALI ILIVYOKUWA WAKATI WA VURUGU MKOANI MTWARA JANA
![]() |
Moja ya nyumba ikiteketea wakati wa vurugu mkoani Mtwara ambapo magari 18, pikipiki 7 viliteketezwa kwa moto vyote vikiwa ni mali za halmashauri ya Masasi na baadhi ni vya watumishi wa halmashauri hiyo. |
![]() |
Gari la wagonjwa likiteketea kwa moto. |
![]() |
Sehemu ya magari yakiendelea kuteketea kwa moto. |
![]() |
Jengo la Mahakama lililochomwa moto. |
![]() |
Chumba cha Jenereta kilichochomwa moto. |
![]() |
Nyumba inayosemekani ni nyumba ya waziri ikiwa imeharibiwa vibaya. |
![]() |
Nyumba inayosemekana ni ya Mwenyekiti wa CCM baada ya kuharibiwa. |
![]() |
![]() |
![]() |
Hivyo ndivyo hali ilivyokuwa wakati wa vurugu hizo.
(Picha Zote na Siraji Nalikame)
|
FRONT PAGE UDADU UDAKUZI:LULU URAIANI KWA M 20,WEMA AANZISHA VITA VYA AJABU:"
![]() |
.
![]() |
.
![]() |
.
![]() |
.
0 comments:
Post a Comment