Bifu la Nicki Minaj na Mariah Carey Huu ndo ukweli...

                         





Bifu la Nicki Minaj na Mariah Carey Huu ndo ukweli...

                    
Ile vita iliyokuwa ikiendela ya kurushiana maneno kati ya nick minaj na mariah carey dizain kama imeisha hivi baada ya kukaa kwa muda mrefu
Nicki mwenyewe amesema kuwa anaupa mia mkanda wake wa ngono kwa kusaidia kumaliza beef yake na marial coz alipunguza tention wakati anarecord mkanda huo
nick na mariah wakiwa kama majaji wa american pop idol na majaji wenzao kwa pamoja walikuwa wanaendelea na kazi yaona walikuwa wakionekana tofauti na ule wa zamani ambao ulitawaliwa na kurushiana maneno na kununiana pia.
wanasema sio rahisi wasichana kusifiana mbele za watu lakini hii haikuwa hivyo kwa mastaa hawa, Nick Minaj alisubili wakati umati wa watu wakivuta pumzi na kufunguka kumsifia Mariah na kumuita 'One of her favourite all-time artist shaper of a generation of singer". Hii iliwasuprise wengi, Mariah Carey pia alionekana kama anataka kuongea kitu lakini ni kama alishindwa kuanza aanze vipi, na gafla akaibuka na kuzungumza kuhusu kufanya wimbo na Nicki Minaj na kwamba alijua tu Nicki Minaj ni msanii ambaye angefika mbali. Carey akaipamba ngoma yao mpya kwa Ironic name, That single: "Up Out My face". Mtu mmoja alionekana kushangaaa, rapper huyo wa kike alijibu huku akizungusha macho yake  "Niliingiza mkanda wangu wa ngono, and there it is". anaendelea kuongea mkanda wake wa ngono kama kitu kilichosaidia kuleta aman kati yao.



0 comments:

Post a Comment