TIMBULO AWEKA KWELI WOTE HADHARANI WA NGOMA YAKE YA BADO KIJANA
NGOMA YA TIMBULO BADO KIJANA AMBAYO ILITOKA MWISHONI
MWA MWAKA 2012 INAYOJULIKANA KAMA BADO
KIJANA AMBAYO KWASASA INAENDELEAK
KUFANYA VIZURI KWENYE MZUNGUKO WA NGOMA
KALI ZINAZOFANYA VIZURI KWASASA KUPITIA RADIO NA TV NA PIA
KWENYE MITANDAO MBALI MBALI,
TIMBULO AMEZUNGUMZA NA CHOKOZA BLOG NA KUTHIBITISHA KUWA ULE WIMBO NI
HISTORIA YA KWELI INAYOMUHUSU MOJA KWA MOJA KATIKA MAISHA YAKE NA PIA NGOMA ZAKE ZOTE ANAZOZITOA ZINAKUWA
ZINAHUSISHA MAISHA YAKE HALISI.
KATIKA NGOMA HIYO ANAZUNGUMZA MANENO AMBAYO ANAMWAMBIA
MSICHANA ALIYEKUWA NAE KATIKA MAHUSIANO IKAFIKIA MAHALA WAKAWA HAWAKO PAMOJA
TENA SASA TIMBULO ANAJITAHIDI SANA KUMSAHAU(KUJISAHAULISHA) NA KUMUONDOA KABISA
KWENYE MAISHA YAKE LAKINI MSICHANA ANAPINGANA NA ILE HALI YA WAO KUFIKIA MWISHO SO TIMBULO NDO ANAJARIBU KUMWAMBIA KUWA
IMEMPASA KUJUA KUWA YEYE BADO KIJANA AACHANE NAE ATAMPATA BOYFRIEND MWINGINE ANAEMFAA
ZAIDI NA TIMBULO PIA BADO KIJANA ATAMPATA MWINGINE WA KUMFAA
KATIKA MAISHA YAKE YAJAYO.
SWALI LINAKUJA JE MSICHANA HUYO NI NAN???????
Chokoza blog itakuletea majibu hayo katika
siku zijazo
stay tuned !!!
0 comments:
Post a Comment