KICHUPA CHA ME & U CHA OMMY DIMPOZI NA VANESSA MDEE KUZINDULIWA JUMAPILI HII NEW MAISHA CLUB DAR

Kama kawaida ya OMMY DIMPOZI atoapo video yake lazima apate tension ya watazamaji zaidi kwa wakati mmoja na safari tena pale pale katika club ya kimaifa NEW MAISHA CLUB tunazindua video ya me & u ya mtu mzima ommy dimpozi na vanessa mdee, video imefanyika nairobi chini ya ogopa deejayz.tukiongea na meneja wa ommy dimpozi mubba mzazi a.k.a mubenga amesema show itakuwa kali sana kwamana wasanii wotre wakali watakuwepo katika jukwaa moja, pia akawataja wasaniii watakaomsindikiza ommy dimpozi katika uzinduzi huo, ni DIAMOND PLATNUM,VANESSA MDEE,DULLY SYKES,MWANA F.A, NA QUEEN DARLIN . KINGILIO BUKU 10 TU.

0 comments:

Post a Comment