MTOTO WA KIGOGO ANASWA GESTI NA MUME WA MTU
MTOTO wa kigogo Bongo aliyepata kuwa mbunge wa jimbo moja jijini Dar es Salaam (jina kapuni) aliyetajwa kwa jina moja la Happy, amenaswa gesti akiwa na Muddy aliyedaiwa kuwa ni mume wa mtu, stori na chanzo chetu. Ukurasa wa tipu unabainisha kuwa binti huyo (pichani) alifanya kitendo hicho cha aibu hivi karibuni maeneo ya Sinza kwenye nyumba moja ya kulala wageni ambayo inasitiriwa jina lake kwa sasa. “Alianza kutembea na mume huyo wa mtu kwa muda mrefu, kosa alilofanya ni kupiga picha chafu kwa kutumia simu yake,” chanzo kilianika mkasa. |
Inaelezwa kuwa picha hizo zimesambazwa na rafiki mmoja wa msichana huyo kwa kinachodaiwa kutaka kuwaumbua wawili hao. |
MWALIKO WA BARTH DAY PARTY YA WATOTO WA MJINI DODOMA:
S- DIZZO & RACHEL WANAPENDA KUWAKARIBISHA TIMU NZIMA YA WATOTO WA MJINI DODOMA PAMOJA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WOTE KWENYE BIRTHDAY PARTY ITAKAYOFANYIKA SIKU YA J.PIL TAR 10/2/2012 PALE ROYAL VILLAGE KUANZIA SAA 1 JIONI NA BADAE KUMALIZIKA NEW MAISHA CLUB V.I.P NYOTE MNAKARIBISHWA: |
RIHANNA SASA ANA DALILI ZA KUWA TEJA: PICHA AKIWA ANAVUTA SIGARA KWA HISIA KALI KAMA BOB MARLEY
0 comments:
Post a Comment