AKATWA MIGUU KISA MKE WA MTU…


Damu: Miguu ya Said Iddi ikivuja damu baada ya kukatwa.

ALI Omar, mkazi wa Kijiji cha Mabana, wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumkata miguu Said  Iddi kwa kumtuhumu kumfumania na mkewe aliyejulikana kwa jina la mama Ali,

0 comments:

Post a Comment