CHANZO CHA KULEGEA KWA MISULI YA SEHEMU ZA SIRI ZA WANAWAKE ......( USHAURI NA TIBA )

Tatizo la kulegea kwa misuli ya sehemu za siri za mwanamke au kitaalamu Vaginal prolapsed  huwatokea zaidi wanawake wenye umri mkubwa ingawa pia linaweza kuwakumba hata wenye umri mdogo. Tunapozungumzia kulegea kwa misuli ya sehemu za siri hapa kuna tofauti kidogo na kutanuka kwa misuli hiyo. Tukizungumzia kulegea ina maana misuli ya ukeni inashindwa kubana na kuachia njia. Hapa misuli inayoachia njia inapolegea hata ukichuchumaa huhisi nyama zimejaa ukeni. Kulegea kwa misuli hiyo hutokana na matatizo mbalimbali na hasa mwanamke anapozaa uzazi wa karibukaribu, au kutokana na matatizo ya vichocheo (Hormones) za kike, pia kunaweza...

0 comments:

Post a Comment