CHRIS BROWN AAMUA KUTUMIA MILIONI 24330000 KUBADILISHA RANGI YA GARI LAKE ILI IENDANE NA RANGI YA KIATU CHAKE


0723-chris-brown-nike-inspired-lamborghini-launch-1Mtandao wa TMZ umeripoti kua msanii mwenye Chris Brown kaamua kubadilisha rangi ya gari yake aina Lamborghini ili ifanane na rangi ya kiatu chake aina ya NIKE.



FGH

Inadaiwa kua Chris Brown ametumia kiasi cha $15,000 katika kubadilisha rangi ya gari yake. Fundi aliyehusika na upakaji rangi wa gari hiyo alifunguka kua Chris Brown alifika ofisini kwake akiwa na kiatu cha nike na kumuuliza kama anaweza kupaka rangi gari yake ifanane na kiatu hicho. Fundi huyo anasema imemchukua jumla ya wiki 4 hadi kuja kukamilisha kazi ya kupaka rangi gari hiyo.




Rating: 0.0/10 (0 votes cast)

0 comments:

Post a Comment