
Mapema wiki hii, mwanamuziki huyo alifikishwa katika mahakama ya mjini hapa kujibu tuhuma ya kugonga na kukimbia miezi miwili iliyopita.

Kabla ya kupandishwa kizimbani, Brown alifikishwa mahakamani hapo mwezi uliopita na jalada lake likasogezwa mbele hadi Jumatatu ya wiki hii.
Mawakili wa staa huyo walimtetea, akaachiwa kwa dhamana na shauri lake litatajwa tena Agosti mwaka huu na endapo akipatikana na hatia, atahukumiwa jela kulingana na vifungu vya sheria vya nchi hiyo.
0 comments:
Post a Comment