Kama Utaitaka Qaswida Aliyo Rekodi Tunda Man, Tunda Ametoa Maelezo Hapa.

Msanii wa Tiptop Tunda Man atamtumia mtu yoyote Qaswida aliyotengeneza wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kupitia Email au Whatsup kama unanamba yake ya simu. Wimbo huu wa Qaswida Ni wimbo wa Dini ya Kiislam ameutangaza kupitia account yake ya Instagram @tundamancaptain.


0 comments:

Post a Comment