LINAH AKANUSHA MADAI YA KUBAKWA USIKU BAADA YA KULEWA.










Kuna habari ambazo zinaenea kuhusu msanii kutoka Tanzania House of Talent, Estelinah Sanga maarufu kama Linah kwamba akiwa kwenye starehe usiku alilewa na kubakwa. Linah mwenyewe na alikuwa na maneno machache ya kusema kama hivi, “Sio kweli kabisa ni maneno tu hayo, kuthibitisha hilo ni kwamba siku ya tatu leo sijatoka usiku na hayo maneo yanasemwa kwamba nililewa usiku”
Aidha habari hizo zilienea kwenye mitandao ya kijamii baada ya Msanii Kalapina kuposti habari hii. 
 

0 comments:

Post a Comment