MTU MMOJA AFARIKI DUNIA AKIWEKA REKODI YA DUNIA KUVUKA MTO KWA KUTUMIA NYWELE ZAKE
Sailendra Nath Roy (50) kazaliwa India amefariki dunia wakati akitaka kuweka record ya kuvuka mto kwa kutumia nywele zake amabozo anakuwa amezifunga kwenye waya mdogo ambao unakuwa umefungwa nywele zake. Lakini kwa bahati mbaya alipofika katikati ya mto huo ndipo, nywele zilig'ang'ania kwenye waya huo na kujaribu kujinasua lakini ikashindikana.

Roy alianza vizuri

Hapa ndio baada ya nywele za Sailendra Nath Roy kunasa na kuaza kujaribu kujinasua

Lakini ilishindikana na mauti yakamkuta

Wananchi wakijaribu kumvuta kumtoa alipofia baada ya nyele zake kig'ang'ania kwenye waya aliokuwa anautumia kwa kufungia nywele
0 comments:
Post a Comment