Sunday, July 21, 2013
Muhimbili Yauguzia Wagonjwa Nje!
Kwa kile
kinachoelezwa kupisha zoezi la upulizwaji wa madawa ya kuua wadudu na
mazalia yake katika wodi za wagonjwa za Kibasila na Mwaisela, hospitali
ya Mhimbili ililazimika kuwalaza nje wagonjwa ili kupisha zoezi hilo.
Hali hii iliwashtua wengi kutokana na ukweli kwamba, kulaza wagonjwa nje
ni hatari kwa afya zao! Lakini jambo hili linaweza kuonekna ni la
kupuuzwa, huu ni ukweli kwamba bado sekta ya afya ina mahitaji makubwa
sana ili kukidhi mahitaji ya Watanzania.
0 comments:
Post a Comment