Saturday, July 20, 2013
NAFASI ya KAZI....
Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa..?
1. Mshahara ni Tsh 900,000/= kwa mwezi!
2. Muda wa kazi kuingia saa 8.30 asubuhi hadi saa 10 jioni..!
3. Posho Tsh 300,000/= kwa mwezi.
4. Siku za kazi ni Jumatatu hadi Ijumaa..!
5. Usafiri na nyumba ya kuishi unapewa.!
VIGEZO...!
1. Cheti cha form 4 na form 6 {CSEE & ACSEE}
2. Elimu ya chuo {Diploma au Bachelor degree}
3. Hakuna uzoefu unaohitajika..!
4. Umri chini ya miaka 45...!
Kama unahitaji hiyo kazi, basi usijali!
Njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta manake hata mimi naitafuta....
0 comments:
Post a Comment