PHOTO: Ma rais wote wanne ktk historia ya Kenya ndani ya chumba kimoja?

kenyatta-uhuru-mwai-kibaki-daniel-arap-moi


Picha ya kihistoria. Kushoto ni rais wa kwanza wa Kenya Mzee Jomo Kenyatta akifatiwa na mtoto wake ambaye inadaiwa kuwa ni Uhuru Muigai Kenyatta, rais wa sasa wa Kenya(Note: baadhi wanasema huyo sio Uhuru bali ni kaka yake anayeitwa Muhoho Kenyatta.) Aliyeinama ni Rais wa tatu Emilio Mwai Kibaki ambaye wakati huo alikuwa na wadhifa mkubwa kwenye serikali ya Mzee Kenyatta. Aliyesimama ni Rais wa pili wa Kenya Daniel Toroitich Arap Moi. mwanaharakatimzalendo

0 comments:

Post a Comment