SNURA AELEZEA MAANA HALISI YA DEBE LA VANGA


Debe la vanga ni ngoma ambayo imetoka hivi karibuni  ya SNURA SEXY kama mwenyewe anavyopenda kujiita ambayo imetengenezwa na producer  mo fire. leo snura ameamua kuongea na chokoza blog ili kuelezea maana halisi ya debe la vanga .





NUKUU”

 Debe la vanga ni debe flani linalotumika kwenye ngoma ya asili ya kizalamu inajulikana kama vanga  ambalo linapiga kelele sana  lakini kwa ndani linakuwa halina chochote, kwahiyo kwenye ngoma ya debe la vanga nimejaribu kuwazungumzia mapedeshee wa mjini na wale wanaopenda kujisifia  kumbe hawana kitu kama debe la vanga  wanamaisha ya kawaida tu  ili watu wajue sio kila papaaa hapa mjini anahonga gari.
Kama hujapata nafasi ya kuiona video hiyo angalia hapa 





Hii ni ngoma ya pili ya snura baada ya ngoma yake ya kwanza shoga yake mama kufanya vizuri na kumpa show nyingi hapa bongo

******* chokoza media intertainment **********

0 comments:

Post a Comment