Destiny's child wanatarajia kuachia albam  

yao ya mpya inayoitwa 'love songs'

Destiny's Child- 'Love Songs'

Destiny's Child wametangaza rasmi ya kwamba wanampango wa kuachia albam yao ya kwanza baada ya miaka 8 ya ukimya wao.Albamu wameipa jina la  'Love Songs' ambayo inatarajiwa kuachiwa tarehe 29 January.Taarifa rasmi zilianza kutoka toka tarehe kumi ya mwezi huu kupitia official website ya Beyonce's na mitandao mingine ya kijamii zikionyesha kurudi upya kwa kundi hilo la Destiny's Child ambalo linaundwa na wadadaa Kelly Rowland and Michelle Williams and beyonce ambae alijitoa na kufanya kazi kma solo artist.In a statement, Beyonce said: "I am so proud to announce the first original Destiny's Child music in eight years!"

humo ndani katika hiyo album utapata nafasi ya kusikiliza ngoma zenye hisia nzito za mapenzi  na zenye kuembelezana zaid taarifa zaid zitatoka baada ya albam kuingia sokoni.  hiyo picha hapo juu ndio muonekano wa cover ya albamu yao ya love songs.

Check out the artwork for Destiny's Child's new album 'Love Songs':


0 comments:

Post a Comment