KANISA LA
UPONYAJI WA KWELI
LAANZA DAR
KANISA LA EBENEZER
LIMEANA KWAAJILI YA KUMALIZA MATATIZO YA WATU WALIOKUWA WAKITESEKA NA
MGONJWA NA SHIDA MBALI MBALI,
KAMA WEWE ULIKUWA NI MMOJA KATI YA WALIOKUWA WANATAMANI KUPATA
UPONYAJI WA KWELI SASA NAFASI NDIO HII,
KUNA KANISA LA KWELI AMBALO LINATOA
MAOMBI YA UKWELI NA UPONYAJI KUTOKA KWA
NABII WA BWANA ANEYULIKANA KAMA NABII HONEST PATRIC MALIYA AMBAYE
ANAPATIKANA MAENEO YA JESHINI
NJIA PANDA YASEGEREA KAMA UNAELEKEA GONGO LA MBOTO.
Nabii akimuombea dada aliyekuwa akiteswa na katika maisha yake na wachawi
AMEKUWA AKIOMBE WATU MBALI MBALI KUTOKA SEHEMU MBALI MBALI ZA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MIKOANI KWA UJUMLA
NA KUFANIKISHA NDOTO ZA WATU WENGI KUWA KWELI, KUNA WALIOKUWA WAKIUMWA WAMEWEZA
KUPONA KABISA NA KUWA KAWAIDA KAMA WALIVYOKUWA HAPO AWALI.
hapa nabii HONEST akiombea watu waliojitokeza na magonjwa yao ya muda mrefu
baadh ya wahumini wakishuhudia ya wagonjwa wakiponywa
BLOG YA CHOKOZA ILIKUWA NI MOJA KATIA YA SHUHUDA KATIKA
KUSHUHUDIA WATU WANAOPONYWA KWA UWEZO WA NABII HONEST
ALIYEBARIKIWA NGUVU ZA KUONA MABAYA YOTE YANAYOFANYA KAZI KWA NGUVU ZA
SHETANI NA KUTOKOMEZA KABISA NGUVU HIZO .
KAMA UNAUGONJWA UNAOKUSUMBUA KWA MUDA MREFU BILA KUPATA
UFUMBUZI WAKE AU KAMA KUNA MTU WAKO WA KARIBU ANATATIZO LOLOTE LINALOMSUMBUA NA AMESHINDWA KUPATA MSAADA WA
UPONYAJI MLETE KATIKA KANISA LA EBENEZER LILILOPA NJIA PANDA YA SEGEREA KWAAJILI YA MAOMBI.
NI KILA SIKU ZA JUMA TANO NA IJUMAA SA 10 JION MPAKA SA 12 JION NA JUMAPILI NI SAA
4 ASUBUHI MPAKA SA 7 MCHANA
KWA MAWASILIANO ZAID ILI KUPATA HUDUMA HII YA MAOMBEZI PIGA
SIMU NAMBA
ZIFUATAZO
CONT . 0719529459 ,
0756334410
CHOKOZA ITAENDELEA KUKUWEKEA MATUKIO YATAKAYOKUWA YANAENDELEA KUTOKEA KATIKA KILA MISA YA MAOMBEZI KWA KILA IJUMAA NA JUMAPILI ILI UWE SHUHUDA WA YALE NABII ANAYOYATENDA .
0 comments:
Post a Comment