STAMINA AELEZEA KOSA ALILOLIFANYA KWA MASHABIKI WAKE




N j

Ninachoweza kusema mm ni kwamba cwez kumsingizia mtu yoyote kuhusu kuvuja kwa ngoma yangu  hivyo kilichopo ni kuwa kwanza naomba msamaha kwa mashabiki wangu kwakuwa lile lilikuwa ni kosa langu ingawa jamaa wameshakiri kosa kwangu na mimi kama binadamu nimewaelewa na kusamehe kwa kilichotokea lakini binafsi naamini chanzo kilikuwa ni mimi,ndo maana kwa maana kwa sasa nimeamua niachie ngoma nyingine niliyofanya a fid q inayoitwa wazo la leo badala ya ile niliyoahidi kuitoa mwanzo lakini ikashindikana 




0 comments:

Post a Comment