IMERIPOTIWA KUWA B'DAY YA MWAKA MMOJA YA MTOTO WA JAY Z NA BEYONCE ILIGHARIMU MILIONI 314,650,000

WIki iliyopita mtoto wa Jay z na Beyonce alitimiza mwaka mmoja.Imeripotiwa na mitandao tofauti tofauti ya Marekani kuwa Sherehe za B'day ya mwaka mmoja ya mtoto wao wa kike Blue Ivy ziligharimu kiasi cha Dola za kimarekani laki 2 ambazo kwa pesa za Kitanzania ni kama Milioni 314 na laki 6 na elfu 50.
Inasemekana keki yenyewe iligharimu dola 2000 ambazo kwa pesa za kibongo ni milioni 3 flani na ushee.

0 comments:

Post a Comment