MKALI  WA  MIC  LAENDELEA  KUTIKISA  BONGO





NANI KUWA MKALI WA MIC KATI YA HAWA ?????????
lile shindano la mkali wa mic bado linaendelea pale dar live kila siku ya jumapili na linarushwa na televisheni yako ya DTV kila jumanne sa 4 usiku na kurudiwa jumamosi sa 8 mchana
Piga kura yakosasa umsababishe mmoja wa hawa kuwa mkali wa mic kati ya hawa.

0 comments:

Post a Comment