AUWAWA WAKIGOMBANIA MWANAMKE MTAA WA ITIJI NONDE MBEYA
| HAPA PETER AKIOKOLEWA NA WANAUSALAMA WALIOWAHI ENEO HILI LA TUKIO ASUBUHI HII |
| HIKI NDICHO CHUMBA ALIMOUWAWA MAREHEMU DANIEL |
| NDUGU WA MAREHEMU WAKIANGUA KILIO MARA BAADA YA KUONA MWILI WA NDUGU YAO DANIEL |
| HAKIKA ILIKUWA KAZI KUBWA SANA KWA POLISI KUMUOKOA PETER ANAEDHANIWA KUMUUA DANIEL KUMUOKOA KATIKA MIKONO YA WANANCHI WENYE HASIRA KALI |
| ANAEDHANIWA KUMUUA DANIEL AKIWA AMELALA CHINI BAADA YA KIPIGO KIKALI TOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI |
| POLISI TAYARI WAMEUCHUKUA MWILI WA MAREHEMU DANIEL HABARI KAMILI MBEYA YETU ITAZIDI KUKUJUZA KWANI BADO TUP |






0 comments:
Post a Comment