BRAND NEW: LADY JAY DEE FT PROFF JAY - JOTO,HASIRA {official video}
Monday, March 18, 2013
No comments
Wakongwe kwenye game ya bongo fleva lady na jd na proff Gzeee waja na project ya pamoja iliyowakutanisha vizuri na kuwafanya mashabiki wao wabaki midomo wazi kutokana na hiyo collabo ambayo haikutegemewa kutoka kwa kipindi hiki ambapo kazi audio imefanyika combination sound chini ya producer man walter a.k.a man maji .
Sasa tayari video imeshatoka na kama bado haujapata nafasi ya kuiona icheck hapo chini
MISS DAR INDIAN OCEAN YAANZA CHINI YA B HITS
Monday, March 18, 2013
No comments
Miss Dar indian ocean imeshaanza na jumamosi ya wikI iliyopita ilikuwa ndIo siku ya audition yake ya kwanza kwa warembo wote waliojitokeza kujaza form za kushiriki kwenye shindano hilo ambalo kwa mwaka hii limeandaliwa na kampuni ya B HITS inayosimamiwa na Harmy B.
Audition ya kwanza ilifanyika katika ukumbi wa much more ambapo walijitokeza washiriki wengi ambao walichujwa mpaka kupatikana warembo 20 ambao wao ndio watakaoanza kambi ya miss dar indian ocan 2013
Hapa warembo waliojitoketa kwenye audition ya miss dar indian ocean wakisubiri itajwe top 20 ya watakao pita kwenye mchujo wa kwanza.
majaji wakiwa na kazi ya kuchaguwa warembo 20 watakaoweza kushiriki miss dar indian ocean
baada ya kazi kubwa kufanywa na majaji wa waliokuwa wakiwachuja washiriki wote waliojitokeza hatimae ikapatikana top 20 waliopita kuingia katika shindano la miss dar indian ocean
Baada ya zoezi kukamilika washiriki waliopita wamepewa maelekezao ya nini cha kufanya na waandaji watakutana tena na washiriki hao siku ya jumanne 19/3/2013 saa 11 jion hapo hapo club much more
Subscribe to:
Posts (Atom)