Auawa Kwa Kuanika Taarifa Zake Facebook

 
Facebook HiyoKuna tabia ya watu wengi aidha kwa kujua au kutokujua ya kuweka taarifa zao nyingi muhimu kwenye mitandao ya kijamii. Mwanamke mmoja auawa kwa kuanika taarifa zake facebook. Yeye aliweka taarifa nyingi kumhusu yeye mpaka namba za simu na mahali anapoishi. Hii ni hatari kwabasababu kuna watu wanazitumia hizi taarifa kufanyia uhalifu. Angalia video hii hapa chini. Tafadhali Click BUTTON/KITUFE mwisho wa habari hii kilichoandikwa Share this FACEBOOK ili uwaponye na wengine wenye tabia ya kujianika mitandaoni.

0 comments:

Post a Comment