BREAKING NEWS: BASI LA MOHAMED TRANS LAPATA AJALI MBAYA SINGIDA



Abiria zaidi ya 40 waliokuwa wakitoka Dodoma mjini kuelekea jijini Mwanza leo wamenusurika kufa baada ya basi la kampuni ya Mohammed Trans lenye namba za usaji T 210 APG, kupata ajali kwenye mzunguko (round about) ya peoples klabu mjini Singida.
Baadhi ya abiria wamepata majeraha madogo madogo.
Imedaiwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa basi hilo kujaribu kumkwepa mwendesha pikipiki.

0 comments:

Post a Comment