Cheki video iliyorekodiwa na camera za usalama barabarani jinsi ile train ya Spain wakati inapata ajali

1

Unaambiwa hadi hivi sasa kwa habari kutoka BBC atleast watu 80 wamepoteza maisha na mamia kujeruhiwa. Angalia hii video jinsi ilivyokuwa inakata kona kabla ya ajali hadi inapata ajali hiyo. Madereva wake wapo chini ya uchunguzi hivi sasa,


0 comments:

Post a Comment