Collabo ya Shilole na JLo : Sikiliza hapa jinsi Shilole alivyofunguka kuhusu Sinta na jinsi Sinta alivyomjibu Shilole.


fr
Shilole amerudi kutoka Marekani na habari za kufanya collabo na JLo, watu tofauti walizipokea hizi habari kitofauti. Blogger Sintah alipost kwenye blog yake mawazo yake juu ya hii ishu. Shilole hakupendezwa na hiyo post ya Sinta, kupitia Take One ya Zamaradi Mketema Shilole alifunguka kuhusu hii ishu. Pia leo asubuhi kupitia movie leo ya Leo tena, Sintah aliongea na Zamaradi Mketema kuhusu hii ishu.Sikiliza hapa sauti zote tangu Shilole kwenye Take One na leo Sinta alivyomjibu akiwana Zamaradi kwenye Movie Leo. Zamaradi pia aliahidi kumhoji Sintah kwenye Take One ya Clouds TV.

credit-

0 comments:

Post a Comment