HAWA NDIYO WALIOBADILISHANA JINSIA, WAAMUA KUWA WAPENZI.


Kushoto Arin (zamani msichana) na kulia Katie (zamani mvulana)

Ni ngumu kuamini kwamba wapenzi hawa walibadili jinsia zao ‘transgender’ mvulana akawa msichana na msichana akawa mvulana na sasa ni wapenzi wakiwa na jinsia zao mpya.
 
Miaka miwili iliyopita vijana hawa Arin Andrews (17) na Katie Hill (19) kutoka Oklahoma, Marekani walifanyiwa surgery ya kubadili jinsia zao na sasa wanaishi kwa furaha wakiwa na jinsia walizokuwa wakiziota.
Kabla ya kubadili jinsia zao Arin alik

0 comments:

Post a Comment