ZANZIBAR;Majeruhi wa Ajali ya Gali ya Jeshi Wakati ikienda mazikoni kwa Wanajeshi waliofariki Dafur..


 Dakari katika hospitali ya mnazi mmoja akitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali ya gari iliopinduka ikiwa katika msafara wa maziko ya Marehemu waliokufa Dafur, ajali hiyo imetokea baada ya kupinduka gari waliokuwa wamepanda wakienda makaburini kwerekwe.
Daktari katika hospitali ya mnazi mmoja akitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali waliofikishwa hospitalini hapo kwa matibabu
Madaktari katika hospitali ya Mnazi mmoja wakitowa huduma kwa Wananchi na Wanajeshi waliopata ajali wakati wakienda katika maziko ya Wanajeshi waliokufa Dafur. ajali hiyo imetokea katika maeneo ya Mwanakwerekwe sokoni.   Dakari katika hospitali ya mnazi mmoja akitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali ya gari iliopinduka ikiwa katika msafara wa maziko ya Marehemu waliokufa Dafur, ajali hiyo imetokea baada ya kupinduka gari waliokuwa wamepanda wakienda makaburini kwerekwe.  Majeruhi wa ajili yagari ya jeshi wakiwa katika hospitali ya mnazi mmoja wakisubiri huduma ya kwanza baada ya kufikisha hospitali hapo.

0 comments:

Post a Comment