Mrembo
anayetamba kwenye filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful
Onyinye’ au Madam jana alifuturu pamoja na wageni wake nyumbani kwake
Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wageni waliofuturu pamoja na
Wema ni pamoja na Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, Petit Man ‘Wakuache’ na
wengineo
0 comments:
Post a Comment