TOKA FACEBOOK-CHEKA NA COX
 
COX....mambo vipi halima

HALIMA........pouwa tu dawa yao niambie

COX.....Daah we mtto mkali sana vipi upo pande zip??

HALIMA.....mi naishi Sinza madukani sijui wewe

COX......mi naishi gongo la mboto wangu vipi unasoma au?

HALIMA......yaah mm nasoma pale IFM wangu ww je?

COX.......mimi Natembeza mayai ya kuchemsha wangu

HALIMA.....K byeee am out naingia class

COX........daah mbna bado nakuona online unabadilisha profile pict alafu unaniambia unaingia class

HALIMA.....we mkaka nitakublock sitak usumbufu mm huwa sichat na wauza mayai nenda kachat na wauza mayai wenzako

COX......mweeh
Like · · · 3 minutes ago via mobile ·

0 comments:

Post a Comment