BONGO  MOVIE  HAWANA  IMANI NA JOYCE  MAFISOLO  NA  WAMKANA  MKINGA  WA  COSOTA

Shirikisho la filamu Tanzania leo wamekutana kwa pamoja kujadili kanuni za body ya filamu. Kikao hicho kilifanyika kwenye  ukumbi wa vijana ulioko kinondoni jijini 
dar es salaam mapema hii leo ili kuzungumzia kanuni za body ya filamu zilizopo na kuzipitia kwa umakini kipengele kimoja baada ya kingine  na kuchanganua  kwa umakini kabisa.



                   
Uongozi wa shirikisho la filamu wakiw katika mkutano wa vijana kinondoni

                          
wajumbe wa shirikisho la filamu wakisikiliza kwa umakini uongozi wao

Pia kutano huo ambao ulikutanisha wasanii mbali mbali walioko kwenye industry ya bongo movie hapa tanzaniawaliamua kujadili juu ya kutokuwa na imani na katibu wa body ya filamu ndugu JOYCE  MAFISOLO
Waliongeza kwa kusema shirikisho linaamini kabosa kuwa kikwete anawapenda kama wao wanavyompenda na kumuamini ili kuna vijana wake ambao wanamuangusha na kufanya wao waonekana hawana wanachokifanya katika kazi yao ya sanaa




                   
                           umati uliofulika wasanii wa bongo movie

                     


Pia shirikisho la filamu  lilitoa kauli juu kutomtaka mkinga wa cosota na kilio chao hiki ni kwa serikali ambayo imewapa siku 7 kupata ufumbuzi wa matakwa yao.


mzee chilo nae hakuwa nyuma  





                       camera ya chokoza ilimnyaka  dude akifuatilia kwa umakini mkutano

                                                    jaqline woler nae ndani


steve nyerere kama hayupo vile

1 comments: